Lazizi - Sauti Sol

Lazizi - Sauti Sol

  • Альбом: Mwanzo

  • Año de lanzamiento: 2009
  • Idioma: swahili
  • Duración: 3:52

A continuación la letra de la canción Lazizi Artista: Sauti Sol Con traducción

Letra " Lazizi "

Texto original con traducción

Lazizi

Sauti Sol

Lazizi wangu we

Zawadi nono kutoka mbinguni

Nakuwaza my baby (Nakuwaza my baby)

Nikikuwaza usiku silali

Nikikuona na wengine nashikwa na wivu

Naomba unipe number yako nikuvutie wire

Nikupeleke Java

Tunywe kahawa

Tukizubaa dubaa dubaa

Mukhali wanje we

Shihanwa shyanje khurula khu-nyasaye

Ndakhuyanza my baby (Ndakhuyanza my baby)

Shihanwa shyanje khurula khu-nyasaye

Bridge:

Zunguka zunguzukane

Nikitafuta kama wewe

Mi nafeel so nice

Unanipa mi amani

Mbele Baby

Sioni njia bila wewe

Wewe… eeeh Lazizi

Mazoe manana (Mazoe manana ah)

Kadonangaeuta na lola, Na

Kanisakayo sheri nanga

Soki yo tena nzanga kapongi (Mpenzi)

Más de 2 millones de letras

Canciones en diferentes idiomas

Traducciones

Traducciones de alta calidad a todos los idiomas

Búsqueda rápida

Encuentra los textos que necesitas en segundos