CCM Wayaaa! - Rayvanny

CCM Wayaaa! - Rayvanny

  • Año de lanzamiento: 2020
  • Idioma: swahili
  • Duración: 2:01

A continuación la letra de la canción CCM Wayaaa! Artista: Rayvanny Con traducción

Letra " CCM Wayaaa! "

Texto original con traducción

CCM Wayaaa!

Rayvanny

Kama kapiga kichuya wayaaa!

Kama kafunga messi wayaaa!

Kama kapiga msuva wayaaa!

Kama kafunga ronaldo

Magufuli kapiga kachapa wayaaa!

Wapinzani wameshindwa kudaka wayaaa!

Kwenye chama karudi lowasa wayaaa!

Tunawafunga kama samata wayaaa!

Kipondo kipondo

Lazima tuchukue ndoo

Tunavyowapa kipondo

Kama barcelona kacheza ndondoo

Kipondo kipondo

Lazima tuchukue ndoo

Tunavyowapa kipondo

Kama barcelona kacheza ndondoo

Barabara kama mbele wayaaa!

Kacheza kama pele wayaaa!

Tena reggea zipo tele wayaaa!

Shule bure bila kwere wayaaa!

Kwenye afya kilimo asante wayaaa!

Umecheza kama ngolo kante wayaaa!

Standard gauge mwendo kasi mwake wayaaa!

Umetisha kama mbape

Kipondo kipondo

Lazima tuchukue ndoo

Tunavyowapa kipondo

Kama manchester kacheza ndondoo

Kipondo kipondo

Lazima tuchukue ndoo

Tunavyowapa kipondo

Kama arsenali kacheza ndondoo

Wamebana wameachia

Samia, suluhu kapiga shuti mbele

Wamebana wameachia

Kassim majaliwa kama ameandika gere

Wamebana wameachia

Dr sheni kawakaba shingoni

Wamebana wameachia

Mwake amepanda mpira kama morrison

Pole pole anapiga shuti wayaaa!

Mangula anapiga shuti wayaaa!

Mangwala anapiga shuti wayaaa!

Makonda anapiga shuti

Wigulu chemba anapiga shuti wayaaa!

Majaliwa anapiga shuti wayaaa!

Mama samia anapiga shuti

Magufuli anapiga shuti wayaaa!

Kona goli… eeeh!

Kona goli… eeeh!

Kona goli… eeeh!

Kona goli… eeeh!

Más de 2 millones de letras

Canciones en diferentes idiomas

Traducciones

Traducciones de alta calidad a todos los idiomas

Búsqueda rápida

Encuentra los textos que necesitas en segundos