Natafuta Kiki - Rayvanny

Natafuta Kiki - Rayvanny

Год
2016
Язык
`swahili`
Длительность
185390

A continuación la letra de la canción Natafuta Kiki Artista: Rayvanny Con traducción

Letra " Natafuta Kiki "

Texto original con traducción

Natafuta Kiki

Rayvanny

Wasafi Records

Wasafi

Nataka nitoke kwenye gazeti niuze sura

Niseme ninatoka na Joketi

Kitandani kisha na fedha Kessy ama Snura

Nilete matata mpaka kwa Grace

Kwenye redio zote mpaka luninga

Nitangaze kwakuvimba kwamba Lulu ana yangu mimba

Au, niwatukane wote mnaoimba kwa dharau na kuvimba mpaka yule anayejita Simba

Niseme madam Rita katetema akiniona anashindwa hata kuhema

Au Vanessa kanena ananitaka na Jux atatemwa

Nataka nifanye sinema

Kwa Rosa na Ray si wema

Kiki ipi iko njema au niende kwa Sepetu Wema

Ati nitoke je?

Mwenzenu nitoke je?

Ati nitoke je?

Mwenzenu nitoke je?

Aah, aah, eeh

Nasikia uwoya mkali

Wanasemaga shishi asali

Wolper atakubali akibwage kihamo chali

Ninatafakari kichwani maswali

Nimtongoze Zari akijua Mondi si hatari

Eeh, Roze ndauka kajala pia hadi na Salama

Moze iyobo asije ninunia kwa aunt Lawama

Mkubwa Fela Tale Salam leaders

Nizushe pesa wame nipiga

Chegge na Madii wasije nikwida iyowe

Nataka nibadili ratiba kwangu isijeleta msiba nitoke

Wasafi niende kwa Kiba (yow)

Ati nitoke je?

Mwenzenu nitoke je?

Ati nitoke je?

Mwenzenu nitoke je?

Nataka nifanye masekele

Sekele ooh sekele

Sekele ooh sekele

Sekele ooh sekele

Yani bongo nzima makelele

Sekele ooh sekele

Sekele ooh sekele

Sekele ooh sekele

Hii, nikinukishe kinoma noma

Sekele ooh sekele

Sekele ooh sekele

Sekele ooh sekele

Macho kuvimba wataisoma

Sekele ooh sekele

Sekele ooh sekele

Sekele ooh sekele

(Ayo, Lizer)

Más de 2 millones de letras

Canciones en diferentes idiomas

Traducciones

Traducciones de alta calidad a todos los idiomas

Búsqueda rápida

Encuentra los textos que necesitas en segundos